Kwa baadhi huenda upasuali wa kuondolewa kiungo cha mwili likawa ni jambo linakufanya ujihisi kuwa umepungukiwa kitu fulani
. Lakini kwa wanawake hawa kutoka Malawi, Zimbabwe na Kenya waliofanyiwa upasuaji wa kuondolewa kwa titi moja kila mmoja wao ili kuzuwia kuenea kwa saratani mwilini mwao hali ni tofauti . Wanatueleza ni kwanini upasuaji huo haukuwafanya wajihisi tsi wanawake waliokamilika
Comments
Post a Comment
Karibu na Endelea kutufuatilia