Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 16.11.2019: Sane, Sancho, Ceballos, Haaland, Ferguson, Chilwell

City wanaimani kuwa Leroy Sane atajiunga naoHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionCity wanaimani kuwa Leroy Sane atajiunga nao
Wachezaji wenzake na Leroy Sane katika Manchester City wanaimani kubwa kuwa kiungo huyo wa kati Mjerumani mwenye umri wa miaka 23 ataondoka Bayern Munich mwaka ujao (Telegraph)


Manchester United wanaangalia uwezekano wa kumuajiri winga wa England Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka 19, huku kocha Ole Gunnar Solskjær akifahamu juu ya matatizo aliyoyapata mshambuliaji huyo katika Borussia Dortmund. (Guardian)
Manchester United wanaangalia uwezekano wa kumuajiri winga wa England Jadon SanchoHaki miliki ya pichaEPA
Image captionManchester United wanaangalia uwezekano wa kumuajiri winga wa England Jadon Sancho
Mchezaji wa safu ya kati wa Arsenal Mhispania Dani Ceballos, mwenye umri wa miaka 23, atakataa kurejea Real Madrid wakati Zinedine Zidane ni meneja . (Sun via AS)
Manchester United wako tayari kumleta kikosini mchezaji wa Red Bull Salzburg Erling Braut Haaland, mwenye umri wa miaka 19,baada ya kushuhudia thamani ya mshambuliaji Norway wakati wa kipindi cha kwanza cha msimu. (ESPN)
Red Bull Salzburg wataweka bei ya euro milioni 100m (£85.6m) kwa ajili ya Haaland mzaliwa wa Leeds ambaye ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Leeds, Nottingham Forest na Manchester City anayecheza katika safu ya kati Alf-Inge. (AS)
Dani CeballosHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDani Ceballos anatakataa kurejea Real Madrid
Manchester United wako wazi kumtoa Haaland tena kwa deni kwa Red Bull Salzburg ilimradi wahakikishe kuwa mkataba wa mshambuliaji huyo utamalizika Januari. (Mirror)
Lakini inaaminiwa kuwa Haaland bado anapendelea kujiunga na Real Madrid au Barcelona. (Mirror)
West Brom wanahofu kuwa huenda wakalazimika kumuuza beki Nathan Ferguson mwezi Januari ili kuepuka kumkosa kwa fidia ndogo wakati mkataba wake utakapoisha msimu ujao . Kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 amekuwa akihusishwa na Tottenham na Crystal Palace. (Mail)
Manchester City wanania ya kusaini mkataba na kiungo wa kati- kushoto wa Leicester na England Ben Chilwell, mwenye umri wa miaka 22, baada ya kukatishwa tamaa na mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Benjamin Mendy, 25. (90min)
Haaland bado anapendelea kujiunga na Real Madrid au Barcelona
Image captionbado anapendelea kujiunga na Real Madrid au Barcelona
Baba yake mshambuliaji wa Everton Mtaliano Moise Kean, mwenye umri wa miaka 19, anataka mwanae aondoke Goodison Park na arejee Italia . (Sun)
Real Madrid wako makini kusaini mkataba na winga wa Chelsea mwanye umri wa miaka 19, Muingereza Callum Hudson-Odoi. (Mirror, via El Desmarque)

Unaweza pia kusoma:

Real pia wanadhaniwa kuwa wanawafuatilia kwa karibu Haaland, Kean na mchezaji wa Villarreal mwenye umri wa miaka 20- Mnigeria Samu Chikwueze. (Star)
Real Madrid wanataka kusiani mkataba na mchezaji wa Chelsea Callum Hudson-OdoiHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionReal Madrid wanataka kusiani mkataba na mchezaji wa Chelsea Callum Hudson-Odoi
Chelsea wamekuwa wakihusishwa na uhamisho wa kiungo wa kulia - kushoto wa Napoli Elseid Hysaj, msimu ujao ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu . (Goal via Radio Punto Nuovo)
Juventus wanapanga kumpatia mpkataba mpya mlindalango wao Mpoland Wojciech Szczesny,mwenye umri wa miaka 29, ambaye alikuw amchezaji wa Arsenal zamani. (Calciomercato)
Mchezaji wa Leicester mlinzi wa zamani wa Northern Ireland Jonny Evans, mwenye umri wa miaka 31, na Mturuki Caglar Soyuncu, mwenye umri wa miaka 23,ni miongoni mwa wachezaji wa safu ya kati -nyuma wanaoweza kujiunga na Manchester City. (Sky Sports)
Manchester United na Inter Milan wanamfuatilia kwa karibu kiungo wa kati wa klabu ya Sporting Kansas City nchini Marekani Gianluca Busio, mwenye umri wa miaka 17, ameichua mkurugenzi wa klabu ya Ulaya has revealed. (Tuttomercatoweb - in Italian)
Jonny Evans, ni miongoni mwa wachezaji wanaowezakujiunga na Manchester CityHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJonny Evans, ni miongoni mwa wachezaji wanaowezakujiunga na Manchester City
Mlindalango wa Tottenham Mfaransa Hugo Lloris, mwenye umri wa miaka 32, amefichua kuwa anaweza kurejea uwanjani Januari huku akiendelea kupona jeraha la kiwiko . (Sun)
Tottenham wameanzisha mazungumzo na mshambuliaji kutoka Jamuhuri ya Ireland Troy Parrott, wa mbaye alisaini mkataba katika siku yake ya mwaka wa 17 wa kuzaliwa mwezi Februari mwaka huu. (Football Insider)
Ni wazi sasa Hugo Lloris hatajiunga na Manchester United kama tetesi za awali zilivyosemaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionNi wazi sasa Hugo Lloris hatajiunga na Manchester United kama tetesi za awali zilivyosema
Mlindalango wa zamani wa Manchester United Edwin van der Sar amemaliza uvumi kwamba anaweza kurejea Old Trafford kama mkurugenzi wa soka kwa kusaini mkataba mpya na Ajax. (mirror)
Mshambuliaji wa ureno Cristiano Ronaldo, mwenye umri wa miaka 34, atafanya mazungumzo na Juventus baada ya kukasirishwa na hatua ya kumondoa uwanjani na kuwekwa kwa mchezaji mwingine mbadala wikendi iliyopita . (Mirror via Gazzetta dello Sport)
AC Milan ina mpango wa kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Uswiss, Zlatan Ibrahimovic, 38Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionAC Milan ina mpango wa kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Uswiss, Zlatan Ibrahimovic, 38
AC Milan ina mpango wa kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Uswiss ambaye kwa sasa hana klabu Zlatan Ibrahimovic, 38, mwezi Januari dirisha la uhamisho litakapofunguliwa, lakini mpango huo unahitaji kuidhinishwa na afisa mkuu mtendaji Ivan Gazidis. (Calciomercato)

Comments